Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Aliyoyapitia Quick Rocka kabla ya kuwa maarufu

on

Quick Rocka ni moja kati wa wasanii wa bongofleva wanaofanya vizuri, wanamuita switcher kutokana na uwezo wake wa kubadilisha style ya kuimba kila mara anapoachia ngoma mpya. Quick Rocka amekuwa akitoa hit baada ya hit tangu ‘I got my bullet, ‘Baby’ aliyofanya na marehemu Ngwea, mpaka ‘Hapo’ aliyofanya na Jux pamoja na G nako ambayo sasa hivi ni club banger inayopata airtime ya kutosha kwenye radio na Tv Stations.

Kama una love na muziki wake basi itakuwa poa kwako kumsikiliza dada yake kwenye Exclusive interview na AyoTV akimuongelea kabla hajatoka, enzi hizo hata dada yake alikuwa hamuelewi nini anafanya………

>>>’Quicky alikuwa anapenda sana kwenda kanisani kwa hiyo ile kuimbaimba ilikuwa kawaida, sisi nyumbani tulikuwa tunamuita Aboti, Aboti alikuwa ni mtu wa vituko sana’ 

>>>Hata siku aliyokua anaenda studio kurekodi tulikuwa tunaona kama masihara tukamwambia hebu imba, maana Quiky anaweza kufanya vitu vingi, kuigiza sauti , kuimba, kurap, basi akaimba kweli tukaona ni nzuri ..

VIDEO: Diamond akiongelea vigezo wanavyoangalia ili kumsani msanii WCB>>>

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement