Biko Ad
CRDB Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Video ya sehemu ya dakika 45 za maisha ya furaha na majonzi ya R. Kelly

on

Staa wa muziki wa R&B kutoka pande za marekani ambaye alianza rasmi muziki  mwaka 1989 akiwa na umri wa miaka 27 R. Kelly ameonesha uwezo wake wa kuongelea na kuimba wimbo wa dakika 45 ulioelezea maisha yake ya nyuma.

Staa huyo wa R&B amefanya hivyo pale alipokuwa akifanya photoshot ya magazine na kuomba kukaa mbele ya camera na kuanza kuimba baadhi ya mashairi machache

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments