Tangaza Hapa Ad

AUDIO: Sababu za Dr Cheni kusimama kuigiza Bongo Movie


Ni November 14, 2016 ambapo staa kutoka Bongo Movies, Dr Cheni alikuchukua headlines mitandaoni baada ya kutangaza kusimama kuigiza filamu nchini.

Sasa basi millardayo.com & Ayo TV imefanikiwa kumpata staa huyo na kueleza sababu za kusimama…….’Sio kwamba nitaacha kuigiza miaka miwili au mitatu bali nasimama kwa muda mfupi  mpaka pale nitakapohakikisha kazi zetu zinatulipa vizuri na kutoibiwa kwani viongozi wetu wapya hawafahamu yanayofanyika’

AUDIO: Majibu ya Mkubwa Fella kwa wanaosema Yamoto Band imepotea 

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement