Tangaza Hapa Ad

Baada ya Elimu bure, ufahamu mpango mwingine wa kuboresha Elimu


Serikali imetoa mafunzo ya TEHAMA kwa walimu 309 wa Shule za Msingi na Sekondari kwa lengo la kuongeza uelewa wa masomo na masuala ya teknolojia ya habari na mawasiliano kwenye Shule wanazofundisha.

Shule nyingi zenye maabara za kompyuta zinakosa watu wa kuzisimamia na kuziendesha hivyo mafunzo yaliyotolewa yana lengo la kuwapa uwezo walimu kufundisha wenzao ili kuwe na shule nyingi zaidi zilizofikiwa kwenye eneo la TEHAMA.

Ulipitwa na hii? Wema Sepetu, Zari na wengine wametajwa kwenye wimbo mpya wa RostamĀ 

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement