Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Alikiba aelezea ujio wa single mpya aliyoshirikishwa na Ommy Dimpoz

on

Ni October 28, 2016 ambapo mkali kutoka Bongo Flevani, Alikiba amefunguka na kuweka wazi ujio wa single mpya aliyoshirikishwa na Ommy Dimpoz iitwayo Kajiandae.

Staa huyo akizungumza kwenye kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa kupitia Clouds TV aliyaongea haya>>>>Kiukweli kwanza ni wimbo mzuri pili maandalizi ya video hiyo tayari tumeshafanya na jina la wimbo unaitwa Kajiandae kwahiyo mashabiki wangu na mashabiki wa Ommy Dimpoz wakati wowote watapata ladha nzuri tu kwani najua ni kitu gani mashabiki wa muziki wangu wanachokitaka kutoka kwangu’

ULIIKOSA HII BIRTHDAY PARTY YA AUNT EZEKIEL BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA MWANZO MWISHO

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement