Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Star mwenye followers Instagram, zaidi ya watu wa nchi mbili za East Africa.

on

Mtandao wa Instagram unazidi kuongeza watumiaji kwa kasi mpaka kufikia idadi ya watumiaji hai zaidi ya milioni 500 kwa mwezi kwa mujibu wa takwimu. Katika hao  watumiaji milioni 500  asilimia 20 ni followers wa mmoja tu ambaye ndiye anaongoza kwa kuwa na followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram.

seleeeena

 

Aliyekuwa girlfriend wa Justin Bieber, Selena Gomez ndiye star anayeongoza kwa kuwa na followers wengi kwenye mtandao wa Intagram akiwa na zaidi ya followers milioni 100. Akifuatiwa na rafiki yake kipenzi Taylor Swifts ambaye ana followers milioni 91.3.

selena-gomez

Kwa mujibu wa takwimu nchi ya Tanzania ina zaidi  ya watu milioni 55 huku nchi jirani ya Kenya ikiwa na watu milioni 44.4. Ikimaanisha hata jumla ya wakazi wa nchi hizi mbili haijafikia jumla ya mashabiki wa Selena Gomez kwenye mtandao wa Instagram.

MANENO YA KING CRAZY GK, KUHUSU RAPPER ANAYEMKUBALI KWENYE GAME KWA SASA>>>

Tupia Comments

Advertisement