Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

EXCLUSIVE: Hoteli aliyojenga Mr. II Sugu Mbeya

on

Ni MwanaBongofleva wa siku nyingi ambae pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi maarufu kama Mr. II Sugu ambae leo ametuonyesha Hoteli yake aliyoijenga Uzunguni Mbeya.

Ni Hoteli ambayo ujenzi wake ulianza mwaka 2016 na umemalizika na kufunguliwa mwaka 2017 ikiwa ni Hoteli yenye vyumba 16 vya kulala na kuna mpango wa baadae kuongeza vifikie 23.

ULIPITWA? Tazama hapa chini Suprise ya Diamond Platnumz kwenye harusi ya Mbunge Profesa J

Soma na hizi

Tupia Comments