Tangaza Hapa Ad

Michezo

AUDIO: Wachezaji wa Azam FC ambao hutowaona wakicheza dhidi ya Simba

on

Jumamosi ya Septemba 17 2016 uwanja wa Uhuru Dar es Salaam itachezwa Dar es Salaam Derby kati ya Azam FC dhidi ya Simba, kuelekea mchezo huo ninae Afisa habari wa Azam FC Jafari Iddi Maganga anayoyakusema kuhusu maandalizi ya mchezo huo na idadi ya mastaa wao ambao hawatacheza mchezo huo.

“Katika mchezo huo wa kesho yoyote anayeshinda anapata nafasi ya kuongoza Ligi hapo ndio ushindani ulipo, sisi kama Azam FC tupo vizuri kwa ajili ya mchezo huo, lakini tunakabiliwa na majeruhi Wawa, Erasto, Aggrey Morris bado hawapo vizuri, suala la uwanja tumekubali kucheza Uhuru kama uwanja wetu wa nyumbani kwani imeonekana kuwa vigumu sisi kutumia uwanja wetu wa Chamazi kwa ajili ya mchezo huo”

ALL GOALS: Simba vs AFC Leopard August 8 2016, Full Time 4-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement