Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

VIDEO: Tekno Miles amesaini deal na Sony Music

on

Tekno Miles msanii kutokea Nigeria ni miongoni mwa wasanii waliopata mafanikio makubwa, Tekno ambae ni mshindi wa tuzo ya MTV Africa Music Awards kama Best Breakthrough Act, Tekno ameingia tena kwenye headlines baada ya kusainiwa kwenye label  ya Sony ambayo inasimamia wasanii wakubwa duniani.

zxxx-2727

Pia Tekno alikuwa miongoni mwa wasanii kutokea Nigeria walioperform kwenye tamasha la Fiesta, November 5 2016 jijini Dar es Salaam akiwa na Yemi Alade , Unaweza kuitazama video nimekuwekea hapa chini wakati Tekno anasaini mkataba huo.

 

Sony deal signed @teknoofficial @ubifranklintriplemg @upfrontbookings @fuzengn @oneafrica_musicfest @pauloo2104

A video posted by Paul O (@pauloo2104) on

VIDEO : Ulimiss kutazama  hii ya Tekno alivyosema Tanzania ni nyumbani kwake na anaweza kununua nyumba Dar? 

VIDEO :Ulimiss kuitazama show ya Tekno wa Nigeria na Dj wa Jay Z Dar es salaam? Bonyeza Play kuitazama

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement