Tangaza Hapa Ad

VIDEO: “Waziri yeyote akifanya jambo kafanya, sio lazima awe mwizi” – Spika Job Ndugai


Spika wa Bunge Job Ndugai alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa hoteli ya Fantasy Village iliyojengwa Dodoma na Mbunge wa jimbo la Aman Mussa Hassan Mussa.

Katika hotuba yake Spika Ndugai alionyesha kukerwa na baadhi ya watu ambao wamekuwa wakiwasema vibaya wawekezaji Wazawa wa Tanzania hasa Viongozi mbalimbali wanapoweka wazi uwekezaji wao, bonyeza play hapa chini kumtazama

BREAKING NEWS: Nyalandu kuanza kuchunguzwa na TAKUKURU na POLISI, Dr. Kigwangalla aagiza, mtazame kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement