Biko


Tangaza Hapa Ad

TBT

TBT: Picha za utoto za Rooney, Aguero, Petr Cech na Theo Walcott

on

Moja kati ya vitu ambavyo inawezekana mtu wangu ukawa unavikosa kutoka kwa mastaa wako wa soka ni picha zao za utoto, mara nyingi umekuwa ukiona picha zao za ukubwani na wakiwa katika mafanikio katika soka.

Leo naomba nikusogezee TBT pichaz za mastaa wa soka golikipa wa Arsenal Petr Cech, winga wa Arsenal Theo Walcott, mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina anayeichezea Man City Sergio Aguero na nahodha wa Man United Wayne Rooney.

petr-cech-592651

Petr Cech

cities_and_teams_blogspot_com_petr_cech_chelsea_england_team_background_desktop_image_gallery_wallpaper_hd_logo

Petr Cech kushoto ni enzi zake za utoto

MANCHESTER, ENGLAND - FEBRUARY 06:  Sergio Aguero of Manchester City reacts during the Barclays Premier League match between Manchester City and Leicester City at the Etihad Stadium on February 6, 2016 in Manchester, England.  (Photo by Alex Livesey/Getty Images)

Sergio Aguero

zbohc

Sergio Aguero mwenye jezi nyekundu enzi zake za utoto

walcott-arsenal-550782

Theo Walcott

cities_and_teams_blogspot_com_theo_walcott_arsenal_england_team_background_desktop_image_gallery_wallpaper_hd_logo

Theo Walcott kushoto ni enzi zake za utoto

MANCHESTER, ENGLAND - FEBRUARY 02:  Wayne Rooney of Manchester United celebrates scoring his team's third goal during the Barclays Premier League match between Manchester United and Stoke City at Old Trafford on February 2, 2016 in Manchester, England.  (Photo by Alex Livesey/Getty Images)

Wayne Rooney

e960ef1749

Wayne Rooney upande wa kushoto ni picha yake ya utoto

ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement