Biko Ad
MPTV Ad
TIC Ad
Tangaza Hapa Ad

TBT

TBT: Kim Jung Un, Kenyatta, Putin na Merkel kwenye picha 4 za zamani

on

Moja kati ya vitu ambavyo inawezekana mtu wangu ukawa unavikosa kutoka kwa viongozi mbalimbali wa Dunia ni picha zao za utoto ambapo mara nyingi umekuwa ukiziona picha zao za ukubwani na wakiwa katika harakati zao za siasa.

Leo nimekusogezea TBT pichaz za Wanasiasa na viongozi wa nchi za Kenya Uhuru Kenyatta, Urusi Vladmir Putin, Chancellor wa Ujerumani Angela Merkel na Rais wa Korea Kaskazini Kim Jung Un.

Rais wa sasa wa Kenya Uhuru Kenyatta

Rais wa Urusi Vladmir Putin

Chancellor wa Ujerumani Angela Merkel

Rais wa Korea Kaskazini Kim Jung Un

VIDEO: Ulipitwa na hii interview ya January Makamba akiongelea kuhusu kuutaka sana Uwaziri Mkuu…

Soma na hizi

Tupia Comments