Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Tecno Phantom 6 Plus ilivyoanza kuuzwa DSM, wateja wataja kilichowavutia

on

Jumamosi ya October 8 2016 Tecno phamtom 6 ilianza kuuzwa rasmi Tanzania katika viwanja vya City Mall Posta jijini Dar es salaam, ambapo watu wengi walijitokeza kuinunua.

Baadhi ya wateja ambao walijitokeza kununua simu hiyo ya Tecno Phantom 6  wamezungumza na Ayo Tv na millardayo.com na kuelezea walivyoipokea simu hiyo….

>>>’Kilichonisukuma kununua phantom 6 ni  historia yake ya kutengenezwa na mainjinia laki 5 halafu imewachukua kama miaka 3 nikaona hii sasa itakua nzuri, na vilevile walilenga soko la Afrika kwa sisi ambao tusiokuwa na kitu tupate simu nzuri ‘:- Thomas Adamu

>>>’Mimi nimevutiwana hii simu kufuatia na matangazo yake ambayo niliyaona na sasa hivi nimeichukua, camera yake ni nzuri na simu yenyewe ni nzuri kwa ujumla wake ni tofauti na tecno zingine ambazo nimetumia, Camera ndiyo imenivutia zaidi’:- Abeid

ULIKOSA ALIKIBA ALIVYOTUMBUIZA MOMBASA ROCKS MUSIC FESTIVAL? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement