Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Baada ya 20 Percent, msanii mwingine amesainiwa na Producer Man Walter

on

Kiwanda cha muziki wa Bongo Flava Tanzania kinazidi kujitanua baada ya kuanza kutumika utaratibu ambao unatumika sana kwenye mataifa makubwa na yaliyopiga hatua kubwa kwenye muziki. Utaratibu wa studio za kurekodi muziki au wadau wadau Music Industry kuanza kufanya kazi kwa kusaini wasanii ambao watakuwa wakiwasimamia kwenye kazi zao.

http://www.bongo.co.tz/sites/default/files/styles/video_image_preview/public/video_embed_field_thumbnails/youtube/SVIo7eWTRyo.jpg?itok=1vLQqe2-

Siku chache baada ya Producer na mmiliki wa studio za Combination Sound, Man Walter kumsaini lebel msanii wake wa zamani 20 Percent, hatimaye amefanikiwa kumrudisha tena studio msanii Hussein Machozi ambaye waliwahi kutangaza kuachana na masuala ya muziki.

Man Walter amezungumzia hatua yake ya kuwarudisha studio wasanii hao hapo. Kumsikiliza bonyeza Play hapa.

ULIMISS TAARIFA YA MCHUNGAJI MAMA LWAKATARE KUHUSU KUWATOA WAFUNGWA WENGINE 50 KUTOKA GEREZA LA DODOMA? TAZAMA VIDEO HII

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement