Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Comment ya Mziwanda kwenye picha ya Shilole na mpenz wake

on

Toka Shilole aanzishe uhusiano mpya wa kimapenzi amekuwa sio mtu wa kuyaweka hadharani sana ikiwa ni pamoja na kumficha mpenzi wake huyo mpya ambaye amefahamika kwa jina la Uchebe lakini Gossip Cop Soudy brown alifanikiwa kuipata picha yao na kuipost kwenye ukurasa wake.

Baada ya Soudy kuipost na kuandika ‘Shishi Baby Na Uchebe wake wanawasalimia wana nzengo’ alipokea comments kutoka kwa watu tofauti akiwemo mpenzi wa zamani wa Shilole, Nuh Mziwanda ambae aliandika ‘Hakika wamependezana’

Hizi hapa chini ni baadhi ya comments za mashabiki baada ya kuona comment ya Mziwanda

SHILOLE AFUNGUKA BAADA YA KUGONGANISHWA NA NAWAL….. PLAY HAPA CHINI KUJIONEA

VIDEO: MSECHU AOMBA MSAMAHA!! AKALISHWA VIKAO

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement