Tangaza Hapa Ad

Mix

Rais Kenyatta wa Kenya alivyomtembelea Rais mstaafu Daniel Arap Moi

on

Wakati huu Kenya ikijiandaa kwa Uchaguzi mkuu, Rais wa sasa wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta amemtembelea Daniel Arap Moi nyumbani kwake kabarnet Gardens, Nairobi.

Alimtembelea kumjulia hali Rais huyo wazamani wa Kenya ambaye kwa sasa ana umri wa miaka miaka 93 ambapo aliitawala Kenya kwenye awamu ya pili na kuiongoza kwa miaka 24 kuanzia 1979 hadi 2002.

VIDEO: Rais Magufuli tena kuhusu sakata la dawa za kulevya, atoa agizo jipya kuhusu Watanzania waliofungwa nje kwa dawa za kulevya, tazama hii video hapa chini

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement