Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

U HEARD: Soudy Brown kaunasa mpango wa kuoa wa Nuh Mziwanda

on

U Heard ya XXL leo ipo na stori hii kuhusu star wa single ya Jike Shupa, Nuh Mziwanda ambaye inasemekana anatarajia kuoa siku ya Ijumaa. Soudy Brown amezungumza na mtu ambaye amedai kuwa alishuhudia tukio la msanii huyo kwenda kutoa mahari.

Inasemekana kuwa Nuh Mziwanda ameshatoa mahari nyumbani kwa wakwe zake maeneo ya Msasani Sheli jijini Dar es salaam siku chache zilizopita. 

>>>”Nuh Alikuja usiku akiwa kwenye gari IST nyeupe na alikuwa na washkaji zake, alikuja kukutana na mzee mwenyewe, alikuja akakutana na naye akapangiwa mahari shilingi milioni lakini hawakuingia ndani waliongelea kwenye gari, mzee sio mtu wa mchezo mchezo.  Mimi eneo ambalo sio mbali sana.” -Shuhuda

>>>”mimi nilikuwa na mazungumzo tofauti na baba mkwe wangu nashindwa kuelewa wewe umejuaje kama mimi nimekwenda kuonana na baba Mkwe wangu, sikutaka mambo yawe hivi lakini nimeshindwa kuelewa umejuaje wewe” –Nuh Mziwanda

Kusikiliza full stori bonyeza play hapa chini.

VIDEO: Maneno ya Nuh Mziwanda aliyoyasema kuhusu Shilole baada ya kutoka Video ya Jike Shupa! Tazama hapa 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement