Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

U HEARD: Video ya Larua yamtibua mpenzi wa zamani wa Malaika

on

September 14 2016 kupitia U Heard ya Soudy Brown, nakukutanisha na hii ya msanii wa Bongo Flava anayefanya vizuri na wimbo wake “LaruaMalaika ambapo ameingia kwenye mzozo na aliyekua mpenzi wake anayejulikana kwa jina la Eddy, baada ya muongozaji wa Video Hanscana kuiachia Video ya Larua wakati makubaliano ilikua isitoke. kama hukupata nafasi ya kuisikiliza usijali, millardayo.com imekurekodia. 

>>>’Sasa na Hanscana kama mtoto wa kiume nilimwambia siku nyingi kwamba ishu hii iko polisi, naomba hiyo video isitoke kwasababu sio mimi niliyekwenda polisi. Sasa yeye kama mtoto wa kiume sijui alikua anawashwa kitu gani?’ Eddy

Unaweza kusikiliza full stori hapa chini


ULIKOSA HII YA TIMU WEMA WALIVYOMSUPRISE WEMA SEPETU TANGA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement