Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

U HEARD: Alichokisema Shemeji wa Najma kuhusu nyumba ya Barakah Da Prince

on

October 18, 2016 U Heard ya Clouds FM ndani ya XXL, Mtangazaji Soudy Brown amepiga story na msanii Alawi Junior ambaye ni shemeji wa girlfriend wa hitmaker Barakah Da Prince, Najma Datan ili kufahamu kuhusu utata wa nyumba iliyopostiwa na Barakah akiwa na Najma na kudai kuwa ni nyumba yao.

Alawi Junio amesema kuwa sio kweli kwamba nyumba hiyo ni mali ya Barakah na Najma, huku akieleza kuwa yeye anafahamu kila kitu kuhusu hiyo nyumba kwasababu ni nyumba ya mama yake Najma na yeye ndiye alipewa jukumu la kuitafuta ili mama Najma ainunue. 

>>>Najua mipango yote ya hiyo nyumba na namjua mpaka aliyeuza kule Tegeta ni mchungaji na mpaka siku nyumba inanunuliwa hiyo nyumba tarehe 24 mwezi wa tano mwaka huu kwa zaidi ya shilingi milioni 200 sio kitu cha mchezo:- Alawi

Soudy sitaki kabisa kuongelea hizo story, mimi simjui Alawi na hajawi kuwa mshkaji wangu kwahiyo sina muda wa kumuongelea na hiyo story ife nipigie uniulize kuhusu kazi zangu na sio kila siku mi naongelea watu mimi ananipa faida gani nikimuongelea:- Barakah Da Prince

Kusikiliza full stori bonyeza hapa chini 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement