Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Mr. Blue bado analalamikia jina la ‘Simba’? Vipi ana tatizo na Diamond Platnumz? Hii hapa.. #UHeard (+Audio)

on

Ishu ilianza kwenye mtandao wa Instagram ambapo Mr. Blue alipost kwamba amesikia kuna watu wanajiita simba akati yeye alijiita jina hilo kwa sababu ya style yake ya kuchana.

Blue amesema hana kinyongo kwa kuigwa lakini aliona aweke wazi ili watu wajue kwamba anaigwa na wengi na anajivunia kwa kuwa mfano wa kuigwa…

Kuhusu ishu ya watu kuchukulia kama Mr. Blue kakasirishwa na Diamond Platnumz kujiita simba, jamaa amesema hana ugomvi nae wala hana matatizo nae kwa sababu wao ni washkaji wa siku nyingi na hakuna mwenye matatizo na mwenzie… U Heard hii hapa mtu wangu.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement