Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

U Heard: Young D adaiwa kusakwa na polisi kisa Tunda

on

U Heard ya Soudy Brown leo December 27, 2016 kupitia XXL ya Clouds FM iko na story inayomhusu msanii wa bongofleva Young D kudaiwa kusakwa na polisi. Inadaiwa kuwa Young D alikuwa na password za account ya Instagram ya Tunda ambaye ni mpenzi wake, sasa inadaiwa polisi wanamsaka kisa ameifuta account ya Tunda.

 Bonyeza play hapa chini kusikiliza full stori

VIDEO: Kitu Diamond Platnumz amefanya Vodacom Wasafi Festival Iringa, Bonyeza play hapa chini kutazama

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement