Swahili Fashion Week
Tangaza Hapa Ad

U HEARD: ‘Sijutii kile ambacho nimekifanya kwa sababu sijakosea’-Madee


Leo January 19 2017 kupita XXL ya clouds FM, Soudy Brown ametuletea U Heard inayomhusu Madee na mama Makavaka baada ya pande hizo mbili kuwepo kwenye mgogoro uliopelekea mpaka Madee kuchukua simu ya mama huyu,  Madee alipozungumza na Soudy, ameyasema haya…..

‘Mama alikuwa anamteta mwanae, sijaona kama ni kosa mama kumtetea mwanae kwa sababu ni utamaduni wa mama wa kiafrika, ila jana nimeshaongea naye nimemuomba msamaha sehemu ambayo nimemkosea japo mimi sijutii na kile ambacho nimekifanya kwa sababu sijakosea nilichokifanya ni kutaka haki yangu, haki yangu nimeipata’

Kusikiliza Full Stori bonyeza play hapa chini

Ulikosa? Diva alivyowakutanisha Live Madee na Mama Makavaka, Bonyeza play hapa chini 

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement