Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Maamuzi ya mtoto wa “Michael Jackson” katika jina la Baba yake Holly Wood’

on

Mtoto wa legend wa muziki wa Pop Marehemu Michael Jackson ambaye ni Paris Jackson ameonekana kufuta maandishi yenye rangi nyekundu yaliyokuwa yameandikwa kwenye jina la baba yake “Watu wengine hawana heshima”

Kitendo hicho kilimchukiza Paris Jackson kuona jina la baba yake kuchorwa na rangi nyekundu katika Holly Wood Walk Of Fame ambapo majina mengi ya mastaa maarufu wenye ushawishi mkubwa nchini Marekani huandikwa mahali hapo ikiwa jina la Marehemu Michael Jackson liliandikwa hapo tokea 1984.

Paris mwenye umri wa miaka 20 alionekana kusafisha jina hilo la Marehemu baba yake na kuchukizwa na yeyote aliyefanya hivyo. Jina la Marehemu Michael Jackson limeandikwa mahali hapo kutokana na aina ya muziki wa pop aliokuwa akifanya mpaka kufanya kutambulika dunia nzima na hivyo kukumbukwa daima.

Paris aliandika caption hii kupitia ukurasa wake wa instagram “Watu wengine hawana heshima, naelewa kuna utofauti kati ya mtangazaji wa radio na msanii, lakini jina ni jina”

Sheria inasemaje endapo ukikamatwa na Polisi kwa kosa lisilo lako

 

Soma na hizi

Tupia Comments