Tangaza Hapa Ad

AyoTV

FULL VIDEO: Ilivyoanza hadi Wabunge wa upinzani wakatoka nje ya Bunge leo

on

February 7 2017 wakati mkutano wa 6 wa Bunge ukiendelea Wabunge wa upinzani walitoka nje ya Bunge kwa madai Naibu spika Dr. Tulia amekataa pendekezo lilolotolewa na Wapinzani kujadili tukio la kukamatwa kwa Mbunge wa Singida mashariki Tundu Lissu jana katika eneo la bunge.

Hii video hapa chini ina maelezo yote ya alichokisema Zitto Kabwe na baadae kujibiwa na Naibu Spika Dr. Tulia.

VIDEO: Walichokiongea Wabunge wa Upinzani baada ya kutoka nje ya Bunge kiko hapa chini kwenye hii video

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement