Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Video mpya 5 za BongoFleva zinazochukuwa headlines Youtube sasahivi

on

Kazi yangu ni kuhakikisha haupitwi na chochote kinachonifikia basi hapa ninazo videoMPYA’ 5 ambazo zinachukua headlines kwenye mtandao wa Youtube kwa sasahivi, na kama ulimiss kuzitazama basi Millardayo.com inasogezea video hizi uzitazame hapa chini…

5. Wivu – Jux imetoka Jul 15 2016 na ina viewers million 1,164,277 mpaka sasahivi

4. Natafuta Kiki – Rayvanny imetoka August 31 2016 na ina viewers million 1,504,016 mpaka sasahivi

3.Waache waoane- Chegge ft Diamond Platnumz imeachiwa August 4 na ina viewers million 2,173,002 mpaka sasahivi

2. Inde- Dully Skies ft Harmonize August 11 2016 na ina viewers milion 2,329,295 mpaka sasahivi

1. Salome – Diamond Platnumz ft Rayvanny imetoka Sep 18 2016 ina viewers Million 5,191,594 mpaka sasahivi

ULIKOSA KUITAZAMA VIDEO YA ALICHOKIFANYA DAYNA NYANGE FIESTA 2016 MTWARA? UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement