Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Magoli ya Yanga dhidi ya Ruvu November 10 2016, Full Time 2-1

on

Mzunguuko wa kwanza wa Ligi Kuu soka Tanzania bara msimu wa 2016/2017 umekamilika kwa Yanga kucheza dhidi ya Ruvu Shooting, Yanga wameibuka na ushinfi wa goli 2-1 magoli yakifungwa na Simon Msuva dakika ya 31 na Haruna Niyonzima dakika ya 56 huku goli la Ruvu likifungwa na Abdurahman Musa dakika ya 7.

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement