Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Mabibi na mabwana, hii ndio video mpya ya ‘nje ya box’ Nikki wa II ft Joh Makini & G Nako

on

Screen-Shot-2014-01-24-at-1.31.58-AM

 

Audio yake ilitoka February 14 2013 na ikamiliki headlines mpaka kuingia kwenye nyimbo 10 kubwa zilizokaa sana kwenye top20 ya Clouds FM, ‘nje ya box’ inaweza kuwa single pekee ya bongofleva ambayo video yake imefanywa miezi 10 baada ya audio kutoka.

Joh Makini na Nikki wa II wamesema watapita hapa baada ya saa 7 kutazama maoni ya watu wa nguvu so usiache kutoa yako ya moyoni hapo chini mtu wangu

[youtube youtubeurl=”qhgrghN-iCY” ][/youtube]

 

Tupia Comments

Advertisement