Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

AudioMPYA: Walter Chilambo anatukaribisha kuisikiliza hii ‘Merry Christmas’ (Amezaliwa)

on

Walter Chilambo ambaye uwezo wake umeonekana kwenye hit kadhaa na hivi karibuni alitangaza rasmi kuacha bongo fleva na kufanya muziki wa gospel. Msimu huu wa sikukuu  amewatakia heri ya Christmas mashabiki kwa kuachia mdundo mpya ‘Merry Christmas  (amezaliwa)’.

Bonyeza HAPA itakupeleka moja kwa moja kuusikiliza, baada ya kuisikiliza usisahau kuniachia comment yako, Walter atapita kuisoma.

15338316_567561266780124_8309705460747862016_n

VIDEO: ‘Nimeamua kufanya hivyo, wasanii wamekua wengi’ – Walter Chilambo, Bonyeza play hapa chini kutazama

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement