DSTV


Tangaza Hapa Ad

Mix

FULL VIDEO: Kabla na baada ya Wema Sepetu kuachiwa kwa dhamana

on

Leo kwenye Mahakama ya hakimu mkazi kisutu Dar es salaam alifikishwa Mwigizaji Wema Sepetu ambaye kuanzia wiki iliyopita alikua akishikiliwa na jeshi la Polisi kwenye sakata la dawa za kulevya.

Mahakamani Kisutu leo imekubali kutoa dhamana ya mwigizaji huyo ambapo imehusu Wadhamini wawili na milioni 5 ambapo pia tarehe 22 mwezi huu anarudi tena Mahakamani kusikiliza majibu ya Mkemia Mkuu wa Serikali kujua kama ni mtumiaji wa dawa za kulevya, video ya ilivyokua Mahakamani itazame kwa kubonyeza play hapa chini

VIDEO: Birthday ya Wema Sepetu na Range Rover aliyojizawadia, tazama kwenye hii video hapa chini

VIDEO: ULIPITWA? Tazama hapa chini Wema Sepetu alivyopokelewa Dar baada ya kukosa Ubunge wa Viti maalum

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement