Tangaza Hapa Ad

Michezo

Pichaz za mazoezi ya Yanga October 19 kuelekea mchezo dhidi ya Toto African

on

Klabu ya Dar Es Salaam Young African October 19 imeingia kambini kujiandaa na mchezo wake wa saba wa Ligi Kuu Tanzania bara dhidi ya Toto African ya Mwanza, mchezo ambao utachezwa October 21 uwanja wa Taifa Dar Es Salaam. Yanga kwa sasa ina point 16 na inaongoza msimamo wa Ligi Kuu kwani haijapoteza mchezo hata mmoja. Hizi ni pichaz za mazoezi ya jioni ya October 19 katika uwanja wa Jangwani.

DSC_0241

DSC_0239

DSC_0234

DSC_0220

DSC_0238

DSC_0235

3X6A2348

3X6A2291

3X6A2317

3X6A2332

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE.

Tupia Comments

Advertisement