Tangaza Hapa Ad

Mstaafu Kikwete, waziri Mwigulu walivyoungana kumzika mchezaji wa Yanga


Jumanne ya January 9 2018 mashabiki wa soka, wadau wa michezo na viongozi mbalimbali wa soka na kiserikali walijitokeza katika makaburi ya Kisutu kumzika mchezaji wa zamani wa Yanga Athuman Juma Chama maarufu kama Jogoo.

Athuman Juma Chama amezikwa baada ya kukutwa na mauti kutokana na kusumbuliwa na maradhi, watu mbalimbali wamejitokeza kumzika akiwemo, Rais mstaafu wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete, waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dr Mwigulu Nchemba.

Baada ya kipigo “Shida yangu mimi ni msemaji na shabiki wa hii timu”-Manara

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement