Habari za Mastaa

Duuh!! ndoa ya Shilole na Uchebe imefikia hapa?

on

Baadhi ya tetesi zinazoendelea kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu ndoa ya msanii Shilole na mume wake Uchebe kuyumba ambapo inasemekana kuwa wawili hao hawapo sawa katika mahusiano ya ndoa yao kutokana na ndoa hiyo bado kuwa changa ambayo ilifungwa mwishoni wa mwaka jana 2017 .

Kupitia instagram account ya Uchebe ambaye ni mume wake Shilole amepost ua jeusi na kuandika ujumbe ambao umetafsrika kumlenga Shilole “Mfugaji hanakipaji chaufugaji ⚑⚑⚑❎❌✔”

Comments zimekuwa nyingi kutoka kwa mashabiki baada ya Uchebe kupost ua jeusi ambalo linahusishwa kuwa kuna dosari katika ndoa yao hii ni kutokana na rangi nyeusi kutafsiriwa kuwa ni majonzi.

Ulipitwa na Furaha ya Chege baada ya kupata mtoto??

Soma na hizi

Tupia Comments