Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Young Killer alimpigia magoti producer Monaganstar? majibu yako hapa

on

Kama utakuwa unakumbuka wiki zilizopita kumekuwa na headlines zikisema kwamba msanii wa Hip Hop, Young Killer alimpigia magoti  Monaganstar huku akimtaka wamalize tofauti zake.

Sasa basi baada ya kusambaa kwa taarifa hizo  millardayo.com & Ayo TV imempata Young Killer  na kayaongea haya>>Hilo suala la mimi kwenda kumuomba msamaha sio la kweli ilikuwa ni ishu nyingine tu na nilikwenda kumuona kuhusu na kile kilichokuwa kinaandikwa katika mitandao mbalimbali’

Sio kuhusiana na kazi ni masuala binafsi, tofauti yangu na Mona nadhani ni mabadiliko ya mfumo wa utendaji kazi ndio yalipelekea kuwa hivyo nilikuwa kwake ndani ya miaka miwili na ni mfumo ambao tulikubaliana wote wawili’

Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Young Killer kuhusu wanaosema alimpigia magoti Producer Monaganstar

ULIIKOSA HII YA NAJ ALIPOKAA NA MAMA YAKE BARAKA THE PRINCE BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Tupia Comments

Advertisement