Tangaza Hapa Ad

BREAKING: Hatimae Robert Mugabe ajiuzulu, Bunge latangaza


Breaking news kutoka Zimbabwe ni kwamba Robert Mugabe amejiuzulu na kuachia kiti cha Urais ambapo Spika wa Bunge ndio ametangaza kujiuzulu kwa Mugabe.

Spika wa Bunge Jacob Mudenda amesema maamuzi hayo ya Mugabe ni ya kujitolea na amefanya hivyo ili kuweza kuwepo kwa mabadiliko mazuri ya mamlaka ambapo kauli hiyo ya Bunge ilizuia mpango wa Bunge  ambao ulikua ni kupiga kura ya kutokua na imani nae.

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement