Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad imeonesha kuwa Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEM) kilinunua gari jipya aina ya Nissan Patrol kwa shilingi million 147.76 ambalo lilisajiliwa kwa jina la Mwanachama badala ya jina la bodi ya wadhamini.
Kigogo mwingine mahakamani kwa kuhujumu kampuni ya mabasi yaendayo haraka ‘UDART’