April 10, 2019 Prof. mussa Assad amewasilisha Taarifa ya mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha ulioishia Tarehe 30 June, 2018 mbele ya Waandishi wa Habari ofisini kwake Dodoma ambapo miongoni mwa maswali aliyokutana nayo kutoka kwa Waandishi ni pamoja na kwanini Wenyeviti wa PAC na LAAC hawakushiriki katika mkutano wake. Full video nimekuwekea hapa chini tayari….
RIPOTI YA CAG KUHUSU UDHAIFU WA CCM NA CHADEMA