Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: PICHA 9: IGP Sirro alivyofunga mafunzo ya Maafisa Uhamiaji leo CCP, Moshi
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
March 27, 2023
Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro
March 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > PICHA 9: IGP Sirro alivyofunga mafunzo ya Maafisa Uhamiaji leo CCP, Moshi
Mix

PICHA 9: IGP Sirro alivyofunga mafunzo ya Maafisa Uhamiaji leo CCP, Moshi

June 24, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Leo June 24, 2017 Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro alikuwa Mgeni rasmi katika sherehe ya kufunga mafunzo ya Maafisa wa Uhamiaji waliomaliza Kozi Namba Moja, sherehe zilizofanyika Chuo cha Polisi Moshi, CCP.

Hizi hapa picha 9 kutoka katika sherehe hizo ambapo Kozi hiyo ilihusisha Warakibu Wasaidizi, Wakaguzi Wasaidizi, Sajini Meja, Sajenti na Koplo.

IGP Simon Sirro akikagua Gwaride la Maafisa wa Uhamiaji wakati wa sherehe za kumaliza kozi namba moja kwa Maafisa hao

IGP Simon Sirro (kulia) akibadilishana mazungumzo na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala baada ya kukagua Gwaride wakati wa sherehe za kumaliza Kozi ya Kwanza ya Maafisa wa Uhamiaji, CCP Moshi

IGP Simon Sirro akiwahutubia Maafisa Uhamiaji baada ya kukagua Gwaride wakati wa sherehe za kumaliza kozi ya kwanza kwa Maafisa Uhamiaji
IGP Simon Sirro akimvisha Cheo Mkaguzi Msaidizi Hadija Masoud Ali wakati wa sherehe za kumaliza kozi ya kwanza ya Maafisa Uhamiaji katika Chuo cha Polisi Moshi, CCP.

ULIIKOSA HII?? Jeshi la Polisi DSM limejipanga kuhakikisha amani inatawala wakati wa Sikukuu ya Eid El Fitr…bonyeza PLAY kwenye VIDEO hii hapa chini kutazama!!!

You Might Also Like

USAID Breakthrough ACTION Launches SPARK Program

Wataalam wa maji watoa wito wa kukabiliana na uhaba wa maji

Kamati ya Bunge ya Miundombinu imeridhishwa na ujenzi wa BRT

Waziri Mkuu awataka vijana na Wanawake kuchangamkia program ya IMBEJU

AudioMPYA: Joshua Ngelendo anakualika kusikiliza “Jemedari”

TAGGED: kamanda sirro, Pichaz
Millard Ayo June 24, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Kauli ya TID baada ya Quick Rocka na OMG kutumia Chorus yake bila ruhusa
Next Article Nyumba za Mbwa ghali zaidi…ipo ya hadi Tsh. 715m (+list Top 7)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
Top Stories March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
Top Stories March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
Top Stories March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
Top Stories March 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana

March 27, 2023
Top Stories

Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.

March 27, 2023
Top Stories

Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya

March 27, 2023
Top Stories

Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro

March 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?