Habari za Mastaa

Baada ya meneja kufunguka vigezo vya collabo na Diamond, Baraka Da Prince naye kataja vyake (+Audio)

on

Kama utakuwa ni mpenzi wa kufuatilia stori za entertaiment basi millardayo.com imekurekodia stori  zote za May 02 2016  ambazo zimepata airtime kupitia 255 ya XXL na moja ya Stori ambayo imepata airtime ni hii ya Barack Da Prince kuelezea vigezo kama ukitaka kufanya nae collabo, Baraka amesema…..

>>>sichaji collabo process yangu mpaka uongee na menejimenti yangu lakini kabla hujazungumza nao napenda kusikiliza wimbo wenyewe na uwezo wa msanii, mimi kuimba mpaka niwe nimeupenda wimbo ila kama sijaupenda wimbo hata uongee na menejimenti yangu’

>>>‘wengi wanakuja Baraka tutakupa hata hela, mimi huwa sijaweka hela sana mbele sababu unaweza kunipa hela kama nyimbo mbaya itaishia wapi haiwezi kuniongezea mimi chochote kwa sababu nikiimba kwenye nyimbo mbaya kwa sababu umenilipa itanishusha mimi’:- Baraka Da Prince

Stori zote zilizopata airtime unaweza kubonyeza Play hapa chini….

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

ULIIKOSA YA BARAKA DA PRINCE KWENYE STAGE MOJA NA MPENZI WAKE NAJ? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments