Ni headlines za bondia mtanzania Hassan Mwakinyo ambae leo Septemba 19, 2018 maelfu ya wakazi wa mkoa wa Tanga wamejitokeza barabarani kumpokea baada ya ushindi mkubwa kuupata nchini Uingereza. Karibu kutazama VIDEO inayo onesha Mapokezi yake mjini Tanga.
VIDEO: MEYA AMPA ZAWADI YA KIWANJA BONDIA HASSAN MWAKINYO