Mix

Wananchi walivyotekeleza agizo la Mkuu wa Mkoa Dar es salaam, Paul Makonda…(+Picha)

on

April 30, 2016 ni headlines za usafi kila sehemu ambapo leo wananchi wa jiji la Dar es salaam, viongozi mbalimbali na wasanii wameungana kuhakikisha mazingira yanakuwa safi na salama… camera ya millardayo.com imefika Wilaya ya Temeke Dar es Salaam

.

.

.

.

.

.Muonekano wa barabara ya wilaya ya Temeke

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.Wakazi wa wilaya ya Temeke wakiwa katika msafara wa kuelekea viwanja vya Leaders Club baada ya kufanya usafi katika maeneo yao

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

..

..

.

.Wakazi wa wilaya ya Temeke wakitekeleza agizo la Mkuu wa Mkoa, Rc Makonda la kuhakikisha mazingira yanayokuwa safi na salama

.

.

.

.Viongozi mbalimbal wakiwa na Mkuu wa wilaya ya Temeke, Sophia Mjema (alievaa T Shirt ya 102.5) wakielekea katika viwanja vya Leaders 

.

.

.

.

..

.


Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

KAMA ULIMISS AGIZO LA KWANZA ALILOLITOA PAUL MAKONDA KAMA MKUU A MKOA ITAZAME HII VIDEO HAPA 

Soma na hizi

Tupia Comments