Wanawake nchini wamekumbushwa kuzingatia kunyonyesha watoto wao wachanga kwa angalau miaka miwili bila kuacha ikiwa ni pamoja na kuhakikisha wanawapa mazima ya mama katika kipindi cha miezi sita ya mwanzo huku ikielezwa kuwa ni chini ya 50% ya watoto wenye umri wa chini ya miezi 6 ndiyo hunyonya maziwa ya mama.
Daktari Bingwa wa Watoto na Unyoyeshaji, Mariam Noorani amesema endapo mama atashindwa kumnyonyesha mtoto kwa sababu mbalimbali, anashauriwa kukamua maziwa na kuyaweka kwenye friji au kuyagandisha kabisa kwenye friji ili yawe salama kwa ajili ya kumnyonyesha mtoto.
Uliikosa hii? Ripoti ya MCT kuhusu Uchunguzi wa uvamizi wa Clouds Media Group