Habari za Mastaa

Jose Chameleone kwenye headlines na hizi picha 8 za gari alilotoa zawadi.

on

j2Ni pale ambapo unafanya kazi nzuri alafu Boss anafurahia na kuamua kukuzawadia chochote……. na ndivyo ilivyotokea kwa Jose Chameleone legend wa muziki Afrika Mashariki kutoke Uganda kumzawadia meneja wake gari aina ya Volks Wagen baada ya show waliyoiandaa kufanikiwa.

j1

j3

j4

j5

j6

j7

j8Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye TwitterFacebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments