magari

Kwenye hii gari hata mtoto mchanga ana siti yake ya kukaa poa kabisa.. (Pichaz & Video)

on

The Excellence Child Safety Seat Concept

Tumezoea kuona gari ikiwa na siti za kawaida tu za kukaa watu wazima.. Wapo walioamua kuwajali watoto wadogo, kama unasafiri na mtoto wako basi nae atakuwa na siti yake ya kumtosha kabisa.

Ona hii picha nyingine ya model mpya ya Volvo.

The Excellence Child Safety Seat Concept

Ndani ya gari kila mmoja anaenjoy kwenye siti yake yani

Hapa kuna video inayoonesha pia gari hiyo ilivyo ndani.

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments