Top Stories

Kama uliikosa hotuba nzima ya Rais Kikwete July 9 2015.

on

20101207 - Brussels , Belgium - European Development Days - The Energy Evolution - Mobilising Energy for Sustainable Development - H. E. Jakaya Mrisho Kikwete , President of the United Republic of Tanzania © European Union

.

Kama ulikosa time ya kumtazama au kumsikiliza Rais Kikwete kwenye hotuba yake akilivunja Bunge Dodoma June 9 2015 unaweza kuutumia muda wako kumsikiliza hapa chini.

Amezungumzia ishu nyingi sana ikiwemo Wasanii na alivyowasaidia, soka, miaka yake kumi ya uongozi na aliyoyafanya pamoja na mambo mengine.

Ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments