Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Update: Baada ya walioteuliwa tatu bora ya Urais CCM kusimama kwa dakika 15

on

CCM 2Tayari mchujo wa pili ulitangazwa saa kadhaa zilizopita hapa Dodoma ambapo walioingia ni John Magufuli, Asharose Migiro na Amina Salum kutoka kwenye tano bora iliyowahusisha pia January Makamba na Bernard Membe, watatu hawa kila mmoja alipewa dakika 15 za kuongea live mbele ya Wajumbe na Watanzania.

Baada ya hayo kutoka kwenye ukumbi mpya wa mikutano wa CCM hapa Dodoma, mpango wa upigaji kura kumchagua mmoja kati ya hawa watatu ulishaanza ambapo Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Jakaya Kikwete aliahirisha mkutano huu mpaka saa nne asubuhi ya July 12 2015 ambako mwakilishi mmoja anaesubiria anatarajiwa kutangazwa.

Sasa hivi kutoka kwenye ukumbi mpya wa #CCM hapa #Dodoma ripota wako niko hapa kukusanyia zote mtu wangu

A video posted by millard ayo (@millardayo) on

Tupia Comments