Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

Maneno ya Martin Kadinda kuhusu kuwapatanisha, Pesa za Wema Sepetu kibiashara, nguo na mengine

on

Martin KadindaMartin Kadinda ni meneja wa mwigizaji Mtanzania Wema Sepetu ambapo aliitembelea TZA kwenye studio za Millard Ayo na kuongea mengi kwenye Exclusive Interview, kuhusu pesa anazolipwa Wema Sepetu ukimualika kwenye party, kumpatanisha na Kajala pamoja na nguo zake mwenyewe Martin Kadinda.

Tazama kwenye hii video hapa chini uyachukue yote hayo.

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments