Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Majina 11 yaliyotajwa kuwa inawezekana mmoja wao atamrithi Wenger Arsenal
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
May 29, 2023
Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria
May 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Majina 11 yaliyotajwa kuwa inawezekana mmoja wao atamrithi Wenger Arsenal
Sports

Majina 11 yaliyotajwa kuwa inawezekana mmoja wao atamrithi Wenger Arsenal

March 8, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Mengi yamezungumzwa na kuandikwa kufuatia timu ya Arsenal iliyochini ya kocha wake mkuu raia wa Ufaransa Arsene Wenger kuondolewa katika michuano ya UEFA Champions League hatua ya 16 bora kwa kufungwa jumla ya goli 10-2, headlines za kufukuzwa zimezidi kuchukua nafasi.

Arsenal kwa sasa inaripotiwa ipo katika mpango wa kutaka kumfuta kazi kocha wao Arsene Wenger ambaye mara ya mwisho kuchukua taji la EPL ilikuwa ni 2004, kwa sasa kocha wa Juventus Massimilaiano Allegri amethibitisha kufanya mazungumzo na Arsenal.

MAJINA 11 YA MAKOCHA WANAOTAJWA KUWA MBADALA WA WENGER AKIFUTWA KAZI

  1. Massimilaiano Allegri (Juventus)
  2. Thomas Tuchel (Borussia Dortmund)
  3. Diego Simione (Atletico Madrid)
  4. Eddie Howe (AFC Bournemouth)
  5. Luis Enrique (FC Barcelona)
  6. Manuel Pelligrini (Hebei Fortune China)
  7. Rafael Benitez  (Newcastle United)
  8. Patrick Vieira (New York City)
  9. Joachim Low (Ujerumani)
  10. Dragan Stojkovic (Guangzhou R&F F.C)
  11. Leonardo Jardim (AS Monaco)

ALL GOALS: SIMBA VS MBEYA CITY MARCH 4 2017, FULL TIME 2-2

You Might Also Like

Pochettino Kocha Mpya Chelsea

Mario Balotelli atabiri fainali ya Man City vs Inter Milan juni 10

Cristiano Ronaldo kuondoka Al-Nassr adaiwa kuwasiliana na Real Madrid

Picha: Yanayojiri kwa Benjamini Mkapa, mashabiki wafurika nje kushuhudia mechi ya Yanga SC dhidi ya USM Alger

Live: Ali Kamwe aongoza Shangwe la Fainali Mbagala Zakheim, Tazama kinachoendelea muda huu

TAGGED: soka ulaya
Rama Mwelondo TZA March 8, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Mahakama kuu leo kwenye kesi ya Mbowe dhidi ya mkuu wa mkoa DSM na wenzake
Next Article VIDEO: Mafuriko yaliyotokea leo DSM yamesababisha kifo cha mtu mmoja
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
Magazeti May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
Top Stories May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
Top Stories May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
Top Stories May 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’

May 29, 2023
Top Stories

Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)

May 29, 2023

Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria

May 29, 2023
Top Stories

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov azuru Kenya

May 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?