AyoTV

Maneno ya Wema Sepetu baada ya kuukosa Ubunge

on

wema 13Mwigizaji staa wa Tanzania Wema Sepetu alikua akiwania nafasi ya Ubunge wa viti maalum Singida lakini kwa bahati mbaya hakuipata hiyo nafasi, kakaa kwenye Exclusive Interview na AyoTV na kuyazungumza yote kwa ukweli wake kwenye hii video hapa chini.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments