AyoTV

On AiR with Millard Ayo: mtoto wa Mchungaji aliyevua taji, hatukumsikia toka kipindi hicho.

on

Angel LuballaAngel Luballa ni miongoni mwa Watanzania walioongelewa kwenye headlines za Tanzania ndani ya wiki kadhaa na baadae kupotea kwenye headlines, hakuonekana wala kuongea kwenye Media kwa miaka mingi lakini hatimaye amekubali kuyaweka wazi na yote yaliyotokea kipindi kile.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments