AyoTV

Video ikionyesha Mabasi mapya ya kisasa Dar yalivyofanyiwa test kubeba abiria.

on

MabasiAugust 17 2015 yalitambulishwa rasmi kwa Watanzania mabasi yatakayo safirisha abiria kwa haraka zaidi kutokana na kupita kwenye barabara yake maalum, ni mradi ambao una miaka zaidi ya 10 toka umeanza kufanyiwa kazi.

Pamoja na kufanikiwa kufika walipofika….. Mabasi haya yaliyojaribiwa milango ya abiria kushuka na kupanda iko kushoto hivyo abiria wanalazimika kushukia na kupandia upande tofauti na ilivyotakiwa, tazama hii video hapa chini.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments